Umeshtakiwa? Elewa case yako leo.
Maelezo ya bure kwa dakika chache. Wakili ukimhitaji.
- Piga picha charge sheet
- Cheki tumesoma nini
- Pata maelezo ya bure
Uko cells sai hivi?
Pigia HK Law
Inavyofanya kazi
- Ingia na namba yako ya simu — tunakutumia code kwa SMS.
- Piga picha kila page ya charge sheet. Unaweza fanya hivi kwa niaba ya mtu wa familia.
- Cheki charges tumesoma kwa picha, alafu ujibu maswali kadhaa.
- Pata maelezo ya bure: charges, adhabu, rights zako na checklist ya bail.
- Si lazima: nunua pack imechekiwa na wakili ya bail, trial, sentence ama appeal, ukilipa na M-Pesa.
Rights zako ukishikwa
Lazima upelekwe kotini ndani ya masaa 24 ukishikwa (Article 49 ya Katiba). Uko na right ya kunyamaza na kupigia wakili.
WhatsApp HK LawTafadhali jua
- Maelezo ya bure ni info ya sheria imepangwa na AI, kulingana na sheria ya Kenya. Si advice ya wakili kuhusu case yako specifically.
- Packs za kulipia huchekiwa na kuapproviwa na wakili wa HK Law kabla uzipate.
- Hakuna mtu anaweza kupromise bail, acquittal (kuachiliwa) ama sentence fulani — na sisi hatutawahi.
- Info yako ni siri. Soma privacy notice yetu. Privacy